iqna

IQNA

Ahadi ya Mwenyezi Mungu
Sura za Qur'ani Tukufu /11
TEHRAN (IQNA) – Pamoja na aya zinazozungumzia rehema ya Mwenyezi Mungu, kuna aya katika Qur’ani Tukufu zinazozungumzia uadilifu wa Mwenyezi Mungu na jinsi wakandamizaji na madhalimu wanavyoadhibiwa. Baadhi ya aya kama hizo zimo katika Surah Hud.
Habari ID: 3475397    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/19